Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
Zawadi zangu utazikuta kwa fighter ndio nimempa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Cuzoo hana hamu na mimi ujue [emoji23][emoji23]
akipost ntaonekana natuma ujumbe upande wa pili af sio poa
Aaah oky hold my beer narudi
Vita ni vita mura tulia[emoji23][emoji23][emoji23] aseee birthday haiendeshwi kwa vita wee dada [emoji23][emoji23]
Unaenda kutokomea pasipojulikana...Aaah oky hold my beer narudi
Nipo sitokomei wala nn
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Oya fanya basi ile kazi mzee wangu au unataka ni slide mwenye sitaki kufanya uhalifu tena ujue [emoji17]Dogo unapenda kunichafulia cv [emoji23][emoji23]
Watu wanazika watu wao... hakuna plan hapo ila zawadi zinaruhusiwa kuja ππ
Kumbe mnashereheka kipande hii. Afadhali nilivyokuja kwa kunyata nimewafuma live. Wapi huo mpunga sasa.
BTW, HBD kwako @simisis hakikisha umevaa nepi sio Pamper.
Ahh wapi mtoto laini unaeza shika panga wwVita ni vita mura tulia
Zawadi zangu utazikuta kwa fighter ndio nimempa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tayar niambie ss
I prefer kuliita machete nashika vizUri sanaAhh wapi mtoto laini unaeza shika panga ww
Duh mtoto kazaliwa leo lakini mbishi kinoma. Super Villain hebu mfunze adabu avae nepi huyu.Chupi la chuma mkuu..nshakua saa hizi πππ
Goddess!!?Tayar niambie ss
[emoji23][emoji23][emoji23] kesho ataoga Pepsi huyu kuna watu nishawapa kazi hiyo ya kumuogesha na kumnywesha tu au unasema mzee simissDuh mtoto kazaliwa leo lakini mbishi kinoma. Super Villain hebu mfunze adabu avae nepi huyu.
πππ mzee kazi 80% done.. wewe tu kujiongeza kwa kijumbe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Oya fanya basi ile kazi mzee wangu au unataka ni slide mwenye sitaki kufanya uhalifu tena ujue [emoji17]
Ukara ndo ukereweGoddess!!?
Haya nijibu mdada wa Kutoka kisiwani Ukara[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila siku watu wanakufa siku zote na maisha yanaendeleaWatu wanazika watu wao... hakuna plan hapo ila zawadi zinaruhusiwa kuja [emoji4][emoji4]