chiqutitta
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 1,160
- 3,125
Msimamizi tena! Upande ule mwingine hauna mtu ungeenda kule..Tunakuwa wote ila ninakuwa msimamizi wako.
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
Anzia apo apo 😂😂😂nataka kuliunga hapa..ila sielewi nianze wapi?
Nataka ni mpe ladha ya uswailini siunajua mm ni njiwa na kunguru [emoji23]Oya unatakaje kumlisha huyu mtoto wa kilatini makongoro mzee. Ngoja nimuandalie kiepe yai special
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
[emoji854]Kazi na dawa
Mpaka ulowe tena embu taja sifa waowaji tupo hapa [emoji41]Nitaokoka nikiolewa kama nitabarikiwa kuwepo. .
Corona hii nasali tu
huwa nafurahi sana nikipewa uhuru wa hivi yaani😛Hahaha we chomekea popote tu
Sawa nitakutengezea bure kabisa..ila uje na sanitizer nimeishiwa nipe nikupeSerious chapamba ndio bora zaidi kushinda hivyo vyenu vya vitenge nitengeneze hicho cha pamba Next week nafuata kokote ulipo [emoji23]
kumbe basi tuendelee ..Mbona umeshaanza
Uhuru una gharama zake...huwa nafurahi sana nikipewa uhuru wa hivi yaani😛
Usiniambie we ndio wale kuku wanang'ata kati tu mara moja ndio umemaliza kula?Shughulini mara nyingi kuna kuku
[emoji51][emoji51][emoji51] sawa haina shidaNimejitahidi kweli...vumilia kukuche
Hahaha nna vingi we acha tuMpaka ulowe tena embu taja sifa waowaji tupo hapa [emoji41]
popoz mnaongezeka tu😄😄Kazi na dawa
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji51][emoji51][emoji51] sawa haina shida
Basi nitakuja na chocolate yangu kwajili ya chai asubuhi.Kuna kiporo kwenye sufuria
Usifananishe kuku na ng'ombe wenye kichaa 😀😀Usiniambie we ndio wale kuku wanang'ata kati tu mara moja ndio umemaliza kula?
Ungetupa na ka picha tung'ang'aniane ilo sufuria apaKuna kiporo kwenye sufuria
Huelewi nini ndugu?waungwana mbona sielewi elewi hapa..