Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,057
Baba ako hatuchukui maelezo, niaje lakini mzee wanguPlate number A chafu
Baba ako hatuchukui maelezo, niaje lakini mzee wanguPlate number A chafu
Vipi roho nzuri
Sio kinyonge dingi, jana hukuonekana kabisa what went wrong budaBaba ako hatuchukui maelezo, niaje lakini mzee wangu
Nilichoka mzee nikaamua niminye tu kiaina.Sio kinyonge dingi, jana hukuonekana kabisa what went wrong buda
Vipi kichwa kisafi0053
I understand kizazi sanaNilichoka mzee nikaamua niminye tu kiaina.
Safi kiongozi.
Kwema?
Naona captain unaongoza hili jahaziI understand kizazi sana
Uwena usiku mwema pal.Lindo lipo mikono salama wacha tukapumzike.
0100
Kwema mzee wangu
Bila wasi wasi unaweza nipiza tu.Mkuu napita nakuachia kijiti.
Kabisa, mabundi leo siwaoniNaona captain unaongoza hili jahazi
Clubs wapi wakacheze na corona labdaBTW i forgot it's Friday already in TZ watu wako clubs
