My hair my crown
JF-Expert Member
- Feb 5, 2016
- 929
- 2,601
Ukitoka tu niambie utanikuta mbele[emoji4]
Ukatuwakilishe vyema huko kwa Queen of Sheba tunakutegemea. Formula ni ile ile ukifika vuta pumzi, tulia kwanz, usiwe na papara. Usifike tu na kuanza kusifia, utakua hujatutendea haki
Amka twende tizi ,chibonge wangu4:46
Kumbe uko single mkuu, naomba usajiri3:25
Tunaoteseka ni sisi tulio single 😎
Ndio umefunga lindo?