Nakfa
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 10,975
- 14,393
Sister bundi wenzio wameenda kuchulia vifo watu wewe JF unafanya nini hadi saiviNiambie braza popo
Sister bundi wenzio wameenda kuchulia vifo watu wewe JF unafanya nini hadi saiviNiambie braza popo
Siyo zamu yangu leoSister bundi wenzio wameenda kuchulia vifo watu wewe JF unafanya nini hadi saivi
Mitaa ya Kunduchi mnafikaga lakini?Siyo zamu yangu leo
Kote uko twafikaMitaa ya Kunduchi mnafikaga lakini?
Sasa Dada bundi unajua naniii mkitaka kuja nistue basi nichomoke si unajua tenaKote uko twafika
😀😀😀😀Sasa Dada bundi unajua naniii mkitaka kuja nistue basi nichomoke si unajua tena
Embu lalaMrembo njoo tujengo malengo unaonekana kama mji wenye upendo.
Mida ya dinner hiiEmbu lala
Father Bundi karibuTuache maskhara!! Aliyeondoka na saniter yetu hapa lindoni Arudishe haraka....lindo litawaka moto jamani.
NakaziaTuache maskhara!! Aliyeondoka na saniter yetu hapa lindoni Arudishe haraka....lindo litawaka moto jamani.