Hapo true af unaonekana upo level za majirani wa chinua achebe.. K'nmbiHahaha mie nmependa mazingira yake
Pako kimya hivi tofauti na dar
Unahisi unaenda iringa hivi
Sent using Jamii Forums mobile app
Poa tuko pamojaSalama tunashukuru mungu
HahahaHapo true af unaonekana upo level za majirani wa chinua achebe.. K'nmbi
Yupo nmemuona pahala labda asije tu humu ila yupoHuyo hadi back up.. akislide pm huwa nabaki peke yangu ila uzuri hayupo leo sijui anakoroma au vp
AmaniPoa tuko pamoja
[emoji23][emoji23][emoji23] sio mbaya.. enjoy adventure ila tuliokulia mikoani tunapaona kawaida ila ile kuhangaishwa kipuuzi.wengine ndo hatupendi
Ngoja nimtag Super Villain maana hakawii kuwa kwenye league za maneno..mzee wa fwactYupo nmemuona pahala labda asije tu humu ila yupo
Ooh you're right[emoji23][emoji23][emoji23] sio mbaya.. enjoy adventure ila tuliokulia mikoani tunapaona kawaida ila ile kuhangaishwa kipuuzi.wengine ndo hatupendi
It was yo first time kuwa out of dsm right !!
Hahaha ndioIt was yo first time kuwa out of dsm right !!
Mbona kikombe chako kikubwa hivyo, unataka utumalizie uji walinzi wenzio?
Aweke kiasi nitaongezea na maji ya kupozea [emoji23][emoji23]Mbona kikombe chako kikubwa hivyo, unataka utumalizie uji walinzi wenzio?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unakujaga hadi huku [emoji15]
Pole sana mzee wangu.Wadau
[emoji23][emoji23][emoji23] Sasa huoutakuwa uji tena au togwa, basi nimekuonea huruma mwamnie akupe na share yangu