Nmefika[emoji119]Tuanze kusogea kwenye lindo.
Goddess Denvers,Simiss, khantwe, Su...hake na na wengine wote tunaolinda nyumba hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Amen
Wadau
Nmefika[emoji119]
Na hili baridi uji ni muhimu kuliko popcorn
[emoji23] mtu mzito miyeyusho sana yuleJana niliwahi kulala ila nkakuta discussion na mtu mzito kuhusu case.. nigani kwani msuper
[emoji23][emoji23] ngoja aje[emoji23] mtu mzito miyeyusho sana yule
Hivi ni yule yule wa jeshi ama!!!..
Ooh yes ni mimiHivi ni yule yule wa jeshi ama!!!..
maana naona mabadiliko lakini aura inafeel the same
Kapigwa baridi leo mpaka kakauka na ule unene leo atakoma[emoji23][emoji23][emoji23] ngoja aje
[emoji23][emoji23]Kapigwa baridi leo mpaka kakauka na ule unene leo atakoma[emoji23]
RIP mamaWadau