Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
Hamida sio wakisport usisubutu kukutwa na visanga vyake unakuwa star ghafla unatrend world wide huko.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hamida si wa mchezo mchezo ati?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo nafasi inakufaa sana. Maana muda wote upo karibu na wajumbe. Tatizo likijitokeza upo faster kutoa ushauri. Nitakuwa mpiga debe wako.[emoji38][emoji38] cut the crap, nataka nikuchukulie form ya uraisi kabisa unasemaje?
Noma sana.Hamida sio wakisport usisubutu kukutwa na visanga vyake unakuwa star ghafla unatrend world wide huko.
yaan uwecampaing manager wangu [emoji23][emoji23][emoji23] hiyo nafsi ni yakiongozi mng'ato tu.Hiyo nafasi inakufaa sana. Maana muda wote upo karibu na wajumbe. Tatizo likijitokeza upo faster kutoa ushauri. Nitakuwa mpiga debe wako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa ni mgombea mwenzayaan uwecampaing manager wangu [emoji23][emoji23][emoji23] hiyo nafsi ni yakiongozi mng'ato tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] basi lazima awe rais anasupport kubwa sana ya wanachama nyuma yake.
[emoji38][emoji38][emoji38] leo we tamba tu ngoja aonezile text zako za michepuko.Baby, amekuja kunitoa lindoni jamani....nawaachia lindo mpambane wenyewe
Halafu wewe uwe nani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] basi lazima awe rais anasupport kubwa sana ya wanachama nyuma yake.
Mwanachama tu mdogo ww sindio waziri wetu wa mambo ya nje
ha ha ha,yupo hapa anajipitisha pitisha na taulo tu....ama kweli lindo gumu hili[emoji38][emoji38][emoji38] leo we tamba tu ngoja aonezile text zako za michepuko.
Nakataa. Kwa jinsi ulivyo active you deserve more than that. Halafu sijui umebofya kitufe gani? Maana ikitajwa tu lazima upate notification na faster unafika kutetea chama.Mwanachama tu mdogo ww sindio waziri wetu wa mambo ya nje
[emoji38][emoji38][emoji38] unaangaika tu huko saiz mm nateseka na hili joto acha tu.ha ha ha,yupo hapa anajipitisha pitisha na taulo tu....ama kweli lindo gumu hili
Karibu tuliendeleze lindoniBado sijapata sababu hasa ya kulala mapema...... Labda saa tisa hivi ntajaribu
ha ha ha huu ni muda wa kulipa kodi ya kitanda mkuu[emoji38][emoji38][emoji38] unaangaika tu huko saiz mm nateseka na hili joto acha tu.
[emoji38][emoji38][emoji38] ni coincidence tu kwani kuna tatizo nikikutag nikiona wanachama wanataka kukihama chama.Nakataa. Kwa jinsi ulivyo active you deserve more than that. Halafu sijui umebofya kitufe gani? Maana ikitajwa tu lazima upate notification na faster unafika kutetea chama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiona usingizi unaanza kupotea,jua ni dalili ya kuanza kuzeekaBado sijapata sababu hasa ya kulala mapema...... Labda saa tisa hivi ntajaribu
[emoji38][emoji38][emoji38] basi sababu ushaipata ukiwa humu.Bado sijapata sababu hasa ya kulala mapema...... Labda saa tisa hivi ntajaribu
Soma vizuri nilichoandika. Kwamba ikirushwa thread inayotaja neno chaputa mzee tayari ushafika.[emoji38][emoji38][emoji38] ni coincidence tu kwani kuna tatizo nikikutag nikiona wanachama wanataka kukihama chama.