Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
[emoji23][emoji23][emoji23] msosi wetu wa faster faster ule.Unafikiri nalialia mkuu. Nimempa kiroho safi. Ni muhudu wa hapa lounge. Kasema atakuja kunitembelea weekend moja. Nina hakika nitampikia kile chakula pendwa. Pia anapenda kutalii Africa. Nimemuahidi nitampelekea.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Usifanye mchezo na yokozuna mixer banana. Unaweza sahau njia uliyojia.Njoo upige yokzuna huku [emoji4]
Awemakini tu habari za kuwa kambale sitopenda kuziona [emoji4]Sisi tutabaki na assumptions tu. Ila muhusika ndio anajua ukweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haiishi ila inakwenda next stage ambayo ni better. Kwisha labda wiki ipite.Gud news kama itakwisha kesho.
Mzee wa malavidavi tena utamwambia niniYupo kwenye pillow talk saiz [emoji23]
Aah ukifanya hivyo nitakushusha nyota zote za ubalozi huko [emoji4]Kama ningekuwa najimudu, hapa ningerudi utotoni. Ila unapiga kistaarabu.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unaweza achia hata haja..........[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Usifanye mchezo na yokozuna mixer banana. Unaweza sahau njia uliyojia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo tunaita outomes au BRNAwemakini tu habari za kuwa kambale sitopenda kuziona [emoji4]
Nakuombea quick recover hommie.Haiishi ila inakwenda next stage ambayo ni better. Kwisha labda wiki ipite.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji4][emoji4] aah huyo tena hapo ndio penyewe.
Mzee baba kwa jinsi ninavyoheshimika, siwezi kuigalagaza P yangu niliyojijengea.Aah ukifanya hivyo nitakushusha nyota zote za ubalozi huko [emoji4]
[emoji1431][emoji1431][emoji1431][emoji1431] thanks much buddy. Soon nitakuwa poa mazee.Nakuombea quick recover hommie.
Yeah hope so [emoji109][emoji1431][emoji1431][emoji1431][emoji1431] thanks much buddy. Soon nitakuwa poa mazee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ohoo una nyongo ngapi? Ni kitu changu hichoKaribu niko na sigara kubwa unatumia nikupe [emoji4]
Hiyo kitu ni ya watu wote mzee.Ohoo una nyongo ngapi? Ni kitu changu hicho
ᴸᵉᵍᵉⁿᵈᵃʳʸ [emoji377]
[emoji106][emoji106]Hiyo kitu ni ya watu wote mzee.
Wameakuacha mwenyewe Leo