Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
Pambana dude piga pushapu nyingi tu nyanyua vyuma vya kilo 5 vile vitakusaidia Guard shooting ndio kilakitu weka juhudi tu humo kwani coach weni ni mzungu?Anza aisee yani mimi kidogo sasa hivi nimeiva nadhani nitaingia hata kwenye timu ya chuo miezi michache ijayo japo competition ni kubwa sana.
Na bahati mbaya mtanzania niko peke yangu
[emoji4] inawezekana na pia isiwezekane maana depression ni moja ya chanzo cha Inosomnia.Daah super villain utakuwa una insomnia [emoji3][emoji3] ndo unaongoza kwa kukesha
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo, wuz up hommie?
Baada ya kufanya vurugu ya kiepe sijakuona tena hommie.
Karibu lindoni uko gud?
Na kwako pia mwamba.Wakuu leo mimi nalala.
Baada ya kukesha hapa napumzika kwanza.
Niwatakie usiku mwema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu niko na sigara kubwa unatumia nikupe πLeo nakesha hapa
α΄Έα΅α΅α΅βΏα΅α΅Κ³ΚΈ [emoji377]
Mwanangu hahahaaa kwanza uniombee mchizi wakoBaada ya kufanya vurugu ya kiepe sijakuona tena hommie.
Wewe huyo? Utavua nguo siku ukijaribu hiyo kitu.Karibu niko na sigara kubwa unatumia nikupe [emoji4]
Kukuombea sio shida hilo nitakufanyia tu lakini tuambie hilo balaa kwanza π
Nahisi nina Corona virus. Maana nina mafua ya hataree mzee baba.Kukuombea sio shinda hilo nitakufanyia tu lakini tuambie hilo balaa kwanza [emoji4]
πππ msokoto wangu kama wa Jamaican nguo siwezi vua kwanza nataka nifanye application nije nipate shahada ya hii kitu hapo colorado.
Acha mambo yako corona itoke wapi bhana pambana hayo mafua yaishe babu.