Mimi mgeni humu jamvini jameni sina hata mwezi[emoji13]
Sie tuko kwetu huku Nyoso mkuu[emoji28]Hahaha! Unalinda geti au mali gani?
Niliko hivi sasa ni saa tisa mchana
Karibu sana hili ni eneo salama sana mkuu.Mimi mgeni humu jamvini jameni sina hata mwezi[emoji13]
Karibu sana ingizo jipya la ulinzi.. Trainee. Mafunzo utachukua kwa casual simis
Sent using Jamii Forums mobile app
SAR 56[emoji28]Upo na bunduki gani hapo askari?
[emoji28]ikiwa yangu si nnawafungulia thread. mbona rahisi sana
Nikajua una gobole mzee wangu [emoji23]SAR 56[emoji28]
Sent using OPPO Mobile Phone
Kwani kuna mtu anaumwa humu [emoji38] ukisika usingizi unalala tu mzee.Wazee wa Insomnia kwema humu?
Tuende tu tukawaone watabibu, sio kwa kukesha huku daah!
Uko poa we mwanamke?
Ni pop up view, ni kama mult window tu, hii ina shrink app unakua na uwezo wa Ku minimize na maximize app au kuiamisha seheme yoyote ya screen while app nyingine zinafanya kazi pia.
Wazee wa Insomnia kwema humu?
Tuende tu tukawaone watabibu, sio kwa kukesha huku daah!
Naona ndio kumekucha sasa.
Kanzu mpya shehe wa zamani
Default app or downloaded?Ni pop up view, ni kama mult window tu, hii ina shrink app unakua na uwezo wa Ku minimize na maximize app au kuiamisha seheme yoyote ya screen while app nyingine zinafanya kazi pia.
Naaam..kwa kweli