Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
[emoji23][emoji23][emoji23] chukua coz kwa kaka mkubwa hapo kwanza hutaki utirio wa bure huo?Ahhh mkuu hapana asee....
Leo naona kama jana, mbio fupi. Nikijiforce ntaanza type mapichapicha
Lindo jema in advance
Wewe sio mfuasi wa alkasusuHizo tunaita kokoto mkuu.
Hizo unaongeza ujazo wa mbegu na bila mbegu hupati hamu ya tendo la ndoa.
Nb: lile tendo ukiwa na mbegu nyingi ndo utamu unazidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lazima aelewe somo kijana huyu mpe somo tu.Hizo tunaita kokoto mkuu.
Hizo unaongeza ujazo wa mbegu na bila mbegu hupati hamu ya tendo la ndoa.
Nb: lile tendo ukiwa na mbegu nyingi ndo utamu unazidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani itakufaa zaidi maana nshakuambia mimi ni mtoto wa katekista[emoji23][emoji23][emoji23] chukua coz kwa kaka mkubwa hapo kwanza hutaki utirio wa bure huo?
[emoji23][emoji23][emoji23] vitu vyenu hivyo vijana.Wewe sio mfuasi wa alkasusu
Mbona umekomalia sana. Kama unataka tirio sio lazma upitie kwangu, just [emoji395] [emoji4]Lazima aelewe somo kijana huyu mpe somo tu.
[emoji4] mm nguvu ninazo sina matatizo hayo kama vijana wa kino.Nadhani itakufaa zaidi maana nshakuambia mimi ni mtoto wa katekista
Huwa naiona tu, sijawahi kunywa kiukweli[emoji23][emoji23][emoji23] vitu vyenu hivyo vijana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aah wapi sitaki hili somo.Mbona umekomalia sana. Kama unataka tirio sio lazma upitie kwangu, just [emoji395] [emoji4]
Kwa hiyo mimi kijana wa kino ???...[emoji4] mm nguvu ninazo sina matatizo hayo kama vijana wa kino.
Hmm sijawahi hata kuiona kwa macho nasikiaga jina tu.Huwa naiona tu, sijawahi kunywa kiukweli
..... labda ukinipa offer mtaalamu
we baharia kutoka buza [emoji4]Kwa hiyo mimi kijana wa kino ???...
Unanikosea
Acha utani mzee... wewe si kijana wa dsm uswazini !!!..Hmm sijawahi hata kuiona kwa macho nasikiaga jina tu.
Hujaenda mbali sana maana wilaya ya tmk nyumbani [emoji4][emoji4]we baharia kutoka buza [emoji4]
Wewe sio mfuasi wa alkasusu
Acha utani mzee... wewe si kijana wa dsm uswazini !!!..
Unashindwaje kuiona, unafeli
Lazima aelewe somo kijana huyu mpe somo tu.
Wilaya ya kino tu ndio utaki kuishi [emoji23]Hujaenda mbali sana maana wilaya ya tmk nyumbani [emoji4][emoji4]
Hata alkasusu naskia jamaa wanaiwekea pia maana watu washakariri inaboost nguvuAaah mkuu sinywagi vitu visivyoelewekaga mimi natengeza mwenyewe nyumbani.
Huku zenji kuna jamaa alikuwa anauza juisi ya tende ikawa inasifiwa kwamba ukinywa unaoiga mambo haswa.kumbe jamaa alikuwa anatia viagra ahahhas
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aliwaweza.Aaah mkuu sinywagi vitu visivyoelewekaga mimi natengeza mwenyewe nyumbani.
Huku zenji kuna jamaa alikuwa anauza juisi ya tende ikawa inasifiwa kwamba ukinywa unaoiga mambo haswa.kumbe jamaa alikuwa anatia viagra ahahhas
Sent using Jamii Forums mobile app