Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
Aah mm drama hapana maneno maneno sitaki mm nataka nione watu wanateseka tu mwanzo mwisho.Unapenda za action sio?hizi drama na romance nazielewa sana,hasa hasa ziwe na legal drama kama hii A Fall from Grace
Dah ha ha haAah mm drama hapana maneno maneno sitaki mm nataka nione watu wanateseka tu mwanzo mwisho.
[emoji23][emoji23][emoji23] sasa dark fate siumeona watu walivyokuwa wanateseka Arnold Schwarzenegger mwenyewe kaenda na maji chuma kimeshindikana kile.Dah ha ha ha
Aise mimi hizo sio sana,huwa naona zinanizingua ni chache sana nazoziangalia,mfano dark fate nilivutiwa nayo
Ha ha ile nmeikubari sana,yule jamaa mbishi sio kitoto,kaleta balaa mwanzo mwisho[emoji23][emoji23][emoji23] sasa dark fate siumeona watu walivyokuwa wanateseka Arnold Schwarzenegger mwenyewe kaenda na maji chuma kimeshindikana kile.
Aah kile chuma [emoji23][emoji23] ni majanga muda wote anawasha moto aliniacha hoi yupo na pacha wake [emoji119].Ha ha ile nmeikubari sana,yule jamaa mbishi sio kitoto,kaleta balaa mwanzo mwisho
Usiombe ukutane na yule pacha wake[emoji23][emoji23],Aah kile chuma [emoji23][emoji23] ni majanga muda wote anawasha moto aliniacha hoi yupo na pacha wake [emoji119].
[emoji23][emoji23][emoji23] yule nikisanga Cameron idea zake sijui anazitoleaga wapi.Usiombe ukutane na yule pacha wake[emoji23][emoji23],
Good night guy's
Najiandaa na lindo
MTC | 101| [emoji769]