Adhabu yann ssAttention
Waheshimiwa Walinzi kuna wenzetu humu wamekeuka sheria na masherti tuliyojiwekea hapa. Wamekuja lindoni kupiga kelele muda ukiwa bado haujatimia.
Katiba yetu katika kile kifungu cha 3b inasema "Ni kosa la jinai kwa mlinzi kuja kuleta fujo lindoni wakati lindo limefungwa bado halijafunguliwa"
High table bado wanatafakari adhabu zitakazo wafaa kutokana na kosa hilo
Kwema
Nipo sana tuu,majukumu yameshika hatamu....Heri ya mwaka mpyaaaaaa. popoooooooooooooooZ wote,Kwa kweli Nawamiss sana,tena Sanaaaaa Tu.
Nipo nyuma yakoAttention
Waheshimiwa Walinzi kuna wenzetu humu wamekeuka sheria na masherti tuliyojiwekea hapa. Wamekuja lindoni kupiga kelele muda ukiwa bado haujatimia.
Katiba yetu katika kile kifungu cha 3b inasema "Ni kosa la jinai kwa mlinzi kuja kuleta fujo lindoni wakati lindo limefungwa bado halijafunguliwa"
High table bado wanatafakari adhabu zitakazo wafaa kutokana na kosa hilo
Unafanyaje nyuma yangu.?
[emoji23][emoji23] nipo kusapoti adhabu yakoUnafanyaje nyuma yangu.?
Haya sema adhabu ipi itolewe
Ahh babuu hainihusu mlinzi kurudi kupiga stor kijiweni kwake muda usio wa kazi ni kawaidaUsikimbie hukumu yakuhusu
kimara. afu mm nalisikia mwilini kama naunguaUnaishi Dar ipi?
Sisi huku Mpiji Magohe ni full baridi.