Natania, nimeona mko so concerned na issue za diet nikasema nitanie kidogo.
Ahh hapana asee. Kheri uoga kuliko yale mambo ya alajazeera[emoji23][emoji23][emoji23] Iraq kunabata sana mbona uwoga wako tu.
KaribuAhsante.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa niaba ya wanawake vibonge itabidi tuandamane kwa hili [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yo welcome miss
Ww hua tunaondoka halafu unarudirudi bwanaHaya tuondoke kipenzi changu Malkia.
Hapana mm godmother nasambaza upendo
Lala hata na furishi la bangi tungekupa fekero[emoji23] unajikuta unaamka unahangaika na kilo bbw
Nimeshatuama kwako.Karibu
Leo sirudi tena,tukitoka tumetoka.Ww hua tunaondoka halaguew unarudirudi bwana
HahahahahaHahaha, nimeshindwa kupata cha kukoment.
Ila umenifurahisha hapo pa kuwaonea wivu.
Wacha nile tu jamani nikifa sivioni tena[emoji23]
Ooh damn [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sill gal.Huyu analimbeata[emoji38] analipaka kwenye viganja ili tusiache jibu msg zake
Muda si mrefu ban itakuhusu.. Mods hawajui utani[emoji23]imebaki kidogo niteme boko nikakumbuka ban panya ww [emoji23][emoji23]usinizoeee nitakuua
Haya sawa dk5 tunaenda kula 9t snacksLeo sirudi tena,tukitoka tumetoka.
Aah no siwezi operate to different id na huwa nachukia sana watu wa hivyo.Ntakuzukia pm maana unaeza kuta wote ni mtu mmoja [emoji23][emoji23] fake ID's effect