Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
Sitaki kuwa fame mzee na hizi fake ID kama vigilants.Umesahau na kuangalia series [emoji23][emoji23]. Ila usijali ulimwengu wa sasa hata bila kipaji unakuwa superstar tu. Wa social media lakini
Hapo umeniacha aisee.Wabeja kulumpha mkuu
Bado kuna raha lakini huko.
[emoji23][emoji23][emoji23] unaogopa kuona damu movie yenyewe iko mwisho ikitoka nabandika vikatuni Lion King.
Bado kuna raha lakini huko.
Shauri yako mkuu. Hakuna mkate mgumu mbele ya chai kumbuka na kila fame ina raha yakeSitaki kuwa fame mzee na hizi fake ID kama vigilants.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huko hakufai kabisa.
Mkuu nikajua wa kanda ya ziwa.. hiyo ni sawa na kusema ahsante kwa kushukuru kwa lugha ya akina ngoshaHapo umeniacha aisee.
[emoji23][emoji23][emoji23] unaogopa kuona damu movie yenyewe iko mwisho ikitoka nabandika vikatuni Lion King.
Umeitaja moro nkakaa kimya. Umeitaja njombe hadi mwili umetetema [emoji4][emoji4][emoji4] nimemiss baridi walahi
Nikuulize swali?Shauri yako mkuu. Hakuna mkate mgumu mbele ya chai kumbuka na kila fame ina raha yake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huko hakufai kabisa.
Animation unapenda kuangalia? ndio movie nazipenda ukitoa hizi action.
Umeitaja moro nkakaa kimya. Umeitaja njombe hadi mwili umetetema [emoji4][emoji4][emoji4] nimemiss baridi walahi
Nilifika hapo makambako tu ni hatari sasa kuko siunaganda kabisa.
Animation unapenda kuangalia? ndio movie nazipenda ukitoa hizi action.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ingia kwenye fridge sasa.Umeitaja moro nkakaa kimya. Umeitaja njombe hadi mwili umetetema [emoji4][emoji4][emoji4] nimemiss baridi walahi
Nilifika hapo makambako tu ni hatari sasa kuko siunaganda kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ingia kwenye fridge sasa.
Wenye kwao washazoea huko.