Ila Leo unachapia kichizi.hata usipojiandaa kama imefika naimani atakufa mru
Aah wapi..Wasi wasi ndiyo akili... embu shtuka toka usingizimi muda huo...
Uone kama hutakua na kijasho chembamba...
Cc: mahondaw
Nmechoka ndo maana niliaga
[emoji23] mida mm nalala isijekua kwako ndo kiza kinaingia sijui
Sina usingizi ila macho yananisumbua inabidi niweke simu pembeni ni force usingizi