JamiiForums Usiku wa manane

Yeaaah real kabisa.. nadhan ilikua 2016
Hata Andre na yule aliekua mke wa pili wa Lucius lyon wa Empire wameoana mwaka jana
Bro kuna vitu mnaweza kuvifanya maishani kama sehemu ya kazi au masikhara lakini baadae vikaja kuturn into reality. Hata humu masikhara watu wanayofanya yanawezakucreate certain kinds of intensive feelings to one another as the results baadae watu msiamini mtakachokuja kusikia au kutokea
Ronny2010
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…