JamiiForums Usiku wa manane

Ukiachana na angel has fallen movie yangu kali ya mwaka ni ''anna'' japo inafanana na the villainers
Anna inabidi utulize kichwa otherwise unatoka kapa labda ufurahie zile action tu,,lakini ni movie nzuri sana..umezisahau Close,Polar,John Wick 3 na Miss Bala
 
anna hatar,.....zote nmeona mbaya labda john wick kidogo polar umefata s.e.x nn[emoji38][emoji38][emoji38]
Kuna rambo last blood pia...kuhusu polar nilijua utaniuliza juu ya hili[emoji23][emoji23][emoji23]yule mzee balaa,ile scene ya s.e.x ilichukua muda mrefu hatar utadhan sio movie bhana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
hahahaha director wa polar alaaniwe jamaaa anachakata kinoma yani

Rambo plot yakitt wamenikera sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…