JamiiForums Usiku wa manane
So far kwenye series wote hawapo, Kuna mabaharia wengine wanakiwasha hatari
Renner sijiu kwanini walimuacha kwenye fallout/IM
2:01am
Aliachwa kwakua ratiba yake ilikua too tight.. kipindi inashoot fallout ndio ilikua inashoot pia Avanger Endgame. So akaona Avanger kuna masrahi..Aka deny MI.
Ngoja tuone mwendelezo 2021 na 2022 kama atarudi..
 
Back
Top Bottom