Wagagagigikoko
Wawapi
Wagagagigikoko
Kesho walinzi wote kikao cha dharula..

Wengi wana zulula mchana usiku hoi!Siku hizi ndivyo mnavyoishi humu! Hakuna hata mlinzi....
Ukikosa kikaoni tuna nyofoa nyota🤣Kesho ipi?
Changamoto sanaUlinzi kipindi hiki cha mvua hali hua ngumu sana
Kweli kabisaLindo halina watu kabisa
Lindo halina watu kabisa
Ulinzi kama kawaKweli kabisa