Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,251
- 90,444
AhsanteKaribu san
Tupo hapa mtaa wa nyuma huuMmelala humu
AhsanteKaribu san
Tupo hapa mtaa wa nyuma huuMmelala humu
HahahahaHawa waliokimbia lindo wanaweza kuwa mgambo wa hezbollah
Nishafika, nasubiri hapaHujafika tu?
Asante Mura! Nakamata lindo hadi baba bhooke aingie!Nakabidhi lindo
Haya kalale sasaHaya haya haya,nafunga lindo sasa.
Tusilaumiane baadae.
Tusilaumiane nasema.Haya kalale sasa
Tulaumiane kwa lipiTusilaumiane nasema.
Kufunga lindo wakati mkiwa lindoni.Tulaumiane kwa lipi
NipoKuna aliye katikiwa usingizi kama mimi humu?