Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,338
- 101,068
Hahahaha, haya usiku mwemaHuwezi amini ninajitahidi kukumbuka kwa mama Vanessa ila ramani haikuji, anyway nalala sasa.
Usiku mwema.
Doh..umechelewa maana sasa nafunga lindoBest naomba uniletee gahawa
Muda ndio kwanza 05:10Tuonane baadae mida ya wanga
Huko kwenu eeh?Muda ndio kwanza 05:10
Oooh ,kumbe nimepuyanga, aah , mambo vipi RafikiHuko kwenu eeh?
Poa rafiki habari yakoOooh ,kumbe nimepuyanga, aah , mambo vipi Rafiki
Nzuri Rafiki ,sijui wewe ,huko ulipo ,najua SAA hz unajiandaa kwenda kutumika ( kazi)Poa rafiki habari yako
Wapi bwana bado nipo ndani ya blanketi naogopa kutoka[emoji85]Nzuri Rafiki ,sijui wewe ,huko ulipo ,najua SAA hz unajiandaa kwenda kutumika ( kazi)
Hahahaha, unaogopa kutoka SAA hz ? au una bado kiusingizi hakijaishaWapi bwana bado nipo ndani ya blanketi naogopa kutoka[emoji85]
Baridi bossHahahaha, unaogopa kutoka SAA hz ? au una bado kiusingizi hakijaisha
Asee ,pori Boss Wangu. Hapo sina msaada, jifunike tu blanket, dar nako kuna baridi ?Baridi boss
Hamna bwana sipo daslam, naona unanijaza ujinga ngoja nitokeAsee ,pori Boss Wangu. Hapo sina msaada, jifunike tu blanket, dar nako kuna baridi ?
Hahahaha, nakujazaje ujinga RafikiHamna bwana sipo daslam, naona unanijaza ujinga ngoja nitoke
Kwamba niendelee kujifunika, baadae ngoja niende maza hausi asije akaniwahi[emoji125][emoji125][emoji125]Hahahaha, nakujazaje ujinga Rafiki
HahahahaKwamba niendelee kujifunika, baadae ngoja niende maza hausi asije akaniwahi[emoji125][emoji125][emoji125]
Samahani mkuu, ndiomaana wahenga walisema kwamba yali madude sio maji.Mkuu umelewa kapumzike, toka lini mimi nkawa brother?
Samahani mkuu, ndiomaana wahenga walisema kwamba yali madude sio maji.
Umeiona PM yangu ya msamaha lakini??