JamiiForums Usiku wa manane

Hivi zuri uliwaza nini ukajiita zuri

Swali zuri,sio "Zuri" ni "Zurri" asili ya jina hili ni "Zurr'a ar-Razi" nikalifupisha na kuwa "Zurri" kwa kubadilisha umbile la jina na kuwa rahisi kusomeka kwa wepesi.

Ni jina la mwanachuoni mkubwa saa miongoni mwa wanachuoni ninao wakubali. Kwa ufupi sana iko hivyo.
 
Ahhh maelezo mazuri kama jina lenyewe Zurri hope nawe ni kazuri are you Ke
 
Aiseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…