Nzuri aisee.
Leo kumependeza, nikiwaona nyote humu najua kumenoga.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tatizo wanaume huwa mnapenda kutumia nguvu kwenye kila kitu. Nguvu ya hoja ikiwashinda mnakuja na hoja ya nguvu
Tuma hela nikununulie
Nyote tena?
Acha nichungulie wenzangu
[emoji23][emoji23][emoji23] ndivyo mlivyo hata ndani ukishindwa hoja utasikia hivi kati ya mimi na wewe nani mwanaume humu ndani. Hoja ijibiwe kwa hoja mambo ya kutishana yanakujaje tenaHahaha, kuna watu hatushindwi kwa hoja aisee.
Siku hizi nimeacha ushindani, nakuwa nawapa wapinzani ushindi wa mezani.
[emoji23][emoji23][emoji23] ndivyo mlivyo hata ndani ukishindwa hoja utasikia hivi kati ya mimi na wewe nani mwanaume humu ndani. Hoja ijibiwe kwa hoja mambo ya kutishana yanakujaje tena
Ooh uko vizuriHiyo sentence siyo ya kwangu kabisa, sisi tumekuwa na mdingi anatuambia kujitetea, kuelezea, kufafanua.
Hakuna hiyo lugha, nikiona una point tunaifanyia kazi, ila lazima uielezee kweli.
Amekuelewa ila anajitia kichwa ngumu. bbade mkorofi sana
Haha kumbe mimi ndio nilielewa tofauti haha kweli hata yeye anaweza kuwa hakuelewaAtakuwa hakunielewa, in fact I meant you and her!
Currently ni our active girls here, you give us good vibe.
Ooh uko vizuri
Utakuwa mtoto mzuriNaacha sasa hivi ukorofi. ...
Haha hii nayo huwezi kuitumia kwenye jambo nyetiPengine unapiga hesabu za hasara itakayopatikana uki-opt kuchukua uamuzi wa upande wa pili, unakubali kufanya ili mkifeli umweleze wapi na wapi mmefeli. Ili next time akusikilize au achukue considerations zote.
Haha kumbe mimi ndio nilielewa tofauti haha kweli hata yeye anaweza kuwa hakuelewa
Kakusaidia umejikuta unatafuta hela wakati angekupa sasa hivi ungekuwa unakoroma tuWanawake siku izi mmekua wapuuzi me nataka mzigo ananiambia kachoka nimetoka kitandani nikachukua simu nipo zangu nabet
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji120][emoji120][emoji120]Utakuwa mtoto mzuri
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji120][emoji120][emoji120]