tulia bwana chalii, najali sana zaidi ya unavyofikilia,Mr Miller naeza kuwa mume mwenza tu kama hatojali maana nilivyo na wivu lazima nichunge hamna kuchekupa zaidi yangu
umejua ni kwa kiasi gani umemvunjia heshima....yani umu add kwenye list ya mababes zako!!!!!!bbade huna wivu niku add kwa list ya mababes wangu? [emoji849]
omba uelekezwe njia ya kwenda kujipatia hizo likesjuu ni usiku wa manane,si mnipee likes kwa any of my post atleast niget likes equal na comments hahahView attachment 1024449
naona wanajitahidi sana kumuwinda...laiti wangejua nawalia timing tu na gobole la kulindia humu wasinge thubutu [emoji48][emoji48]
habari za wakati? Inna
no, i will cripple anyone....Hapa ndiyo pale unasikia askari wanauana wakiwa lindo.
no, i will cripple anyone....
si unajua nguvu ya hizi gobole
tulia bwana chalii, najali sana zaidi ya unavyofikilia,
hebu tafuta manzi mwingine wa kumchora..
huyu bbade yupo sehemu salama haitaji mambo ya wenza.
naona wanajitahidi sana kumuwinda...laiti wangejua nawalia timing tu na gobole la kulindia humu wasinge thubutu [emoji48][emoji48]
habari za wakati? Inna
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usicatch feelings bro akili za usiku tu ilikua.umejua ni kwa kiasi gani umemvunjia heshima....yani umu add kwenye list ya mababes zako!!!!!!
umeshafeli mapema kabisa chaliifrancisco [emoji15]
wenzako hatusemagi....unaAdd na kuSub mwenyewe kimya kimya, hebu acha bbade wangu huku yupo namba ya peke yake.
Mambo vp mkuuBasi sawaa.... [emoji1635]