Bwana Mrefu
JF-Expert Member
- Jul 17, 2018
- 416
- 1,012
Valangati la juzi umelisahau nn arifuu!!? Watarudi tena ohooo[emoji38][emoji38]Tumetekana mimi na yeye kwa muda ila charge ikijaa tunarudi rasmi. Hapa saizi nimemwacha aende shule mimi nalala sasa.
Lipi hilo? [emoji848]Valangati la juzi umelisahau nn arifuu!!? Watarudi tena ohooo[emoji38][emoji38]
"Utamu wa uji ni kutingisha bakuli"
Msalimie sana denti wetu ila jiangalie. Ukijichanganya waweza kujikuta unapigwa mvua 30..[emoji16][emoji16][emoji16]Tumetekana mimi na yeye kwa muda ila charge ikijaa tunarudi rasmi. Hapa saizi nimemwacha aende shule mimi nalala sasa.
Umakini lazima. Walinzi tena sisi tunaachaje kuwa makini na tuna mafunzoMsalimie sana denti wetu ila jiangalie. Ulijichanganya waweza kujikuta unapigwa mvua 30..[emoji16][emoji16][emoji16]
Lile na totoz wanne, kukushika shati[emoji16]Lipi hilo? [emoji848]
Hahaha mambo ya siku ya wapendanao.Lile na totoz wanne, kukushika shati[emoji16]
"Utamu wa uji ni kutingisha bakuli"
Na kwako pia kamandaHahaha mambo ya siku ya wapendanao.
Muwe na siku njema wakuu
Ni ya kweli haya Felly? Mi naumia huku ujue [emoji16][emoji16][emoji16]Hahahah
Haha na kwanini uumieNi ya kweli haya Felly? Mi naumia huku ujue [emoji16][emoji16][emoji16]
Kwa nini niumie? Unafikiri miye sipendi kuchaji simu na wewe? Chalii ana nini ambacho miye sina?Haha na kwanini uumie
Ooh Mkuu kuteseka kumepigwa marufuku