nipe mkuu ,,aisee kwenye jackpot niliweka mikeka 5,du yenye hit nyingi ilikuwa 3 kati ya 17,,,Kesho nikupe mkeka. Mimi weekend nilijaribu acca moja ndefu kama basi la mwendo kasi. 12 selections nikakosa 2.. I was trying my own kind of a jackpot. It was close
[emoji266] cactus utapokea na naked hand? [emoji1787]
Hahaha soon mtakuwa hamumtamani kama Mourinho.
Loh nimekua mkatili sana.. Nabadilisha chukua hii sunflower[emoji258]Nitajitahidi kuvumilia
3 ya 17 mzee baba acha kubet tu. [emoji1787][emoji1787]nipe mkuu ,,aisee kwenye jackpot niliweka mikeka 5,du yenye hit nyingi ilikuwa 3 kati ya 17,,,
hahaha,,, uchawi upo arifu.
Loh nimekua mkatili sana.. Nabadilisha chukua hii sunflower[emoji258]
Ohhhh alihitaji kweli kupumzika. Ole ameingia poa ila i am telling you kwa style amekuja nayo itawafanya mumuchukie akianza kufungwa.Wao bwana. ...sio mimi. ..
José anaazeeka sasa
Sawa karibuNalo pia nashukuru...
Ohhhh alihitaji kweli kupumzika. Ole ameingia poa ila i am telling you kwa style amekuja nayo itawafanya mumuchukie akianza kufungwa.
Bora angeanza na inconsistency kisha aanze ku maintain as mda unaenda hapo sawa. Ila kuanzia high kama alivyoanza ni risk atakapo lose his mojo
Let him enjoy for now...
Niaje mzee baba. Naona leo mmeponea chupuchupu
Wenzako wako wapi
Hahahaha
Aisee ilikuwa tulale..hawa burnley wahuni sanaNiaje mzee baba. Naona leo mmeponea chupuchupu
Noma. Man City kafa sasa sisi Liverpool tushindwe wenyewe