Smith Rowe
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 4,567
- 9,767
Hahahhahahaah mkuu wewe mbona kila mahali vitunguu swaumu tuu badili muda mwingine sema vitunguu majiHuu ni ushahidi mwingine kuwa watanzania wa kawaida wanakula na kushindia vitunguu swaumu.
Njoo mama mwenyewe mzuka uko juu balaaLoooh! Nilidhani ni jinsia pinzani nijaribu bahati yangu. Maana hata mie leo nina hamu ya kupiga soga mpaka kuchee na hivi kesho ni sikukuu!
Na ugoroHuu ni ushahidi mwingine kuwa watanzania wa kawaida wanakula na kushindia vitunguu swaumu.
Haha kweli kabisa mkuuNarudia tena.
Kuna id zinaandika zikijionyesha zina nyege sana ila zikiambiwa zitembezewe moto zinaruka ruka.
Katoto kazuri kumbe kajasiri eeh?Tatizo lako wewe nikashetani ambako kako kuzimu saa yeyote unaibukaga tu unakuja duniani sinaga time na vibwengo mimi tena ushindwe ulegee kauzu wewe.
Hakuna nimekerwa tu na haka kamdudu kanakera
Kama zipiNarudia tena.
Kuna id zinaandika zikijionyesha zina nyege sana ila zikiambiwa zitembezewe moto zinaruka ruka.
Malizia pm kwa mtu unayemfill
True
🤣🤣🤣🤣Hahahhahahaah mkuu wewe mbona kila mahali vitunguu swaumu tuu badili muda mwingine sema vitunguu maji
Sent using Jamii Forums mobile app
Swali hivi hako kamdudu kanaweza kufika hata kiunoni kalivu kadogo
Hahahaaa umekaonaje wewe mpaka kasikugike kiunoni,, unakadria kanakufika wapi kama hakafiki hata kiunoni?Swali hivi hako kamdudu kanaweza kufika hata kiunoni kalivu kadogo
MiguuniHahahaaa umekaonaje wewe mpaka kasikugike kiunoni,, unakadria kanakufika wapi kama hakafiki hata kiunoni?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nahisi ni kadogo kama soli ya raba [emoji86][emoji86]Nikadogo sana kama chupa la bia