Jamani kuna member wa uzi huu wa usiku wa ma8 nampenda kwelikweli lakini hataki kunielewa.... Kusema cha ukweli kwake hata sijielewi
Muendee pm yanini kuumia
[emoji3][emoji3]Nakuangalia tu halafu nasema hiiiiiiiii!!!!
Unacheka eeee[emoji3][emoji3]
Hiiiiiiii
Mkuu haya mambo we acha tuI can help! Nitajie ID yake.
Tukeshage woteHabari za weekend wadau! Ni matumaini yangu mpo vyema kabisa. Nawatakia mkesha mwema
Wakimbia lindo utawajua tuHabari za weekend wadau! Ni matumaini yangu mpo vyema kabisa. Nawatakia mkesha mwema
Leo sina jeuri. Acha ni pumzike kesho nayo ni siku. Akija Thad msalimieTukeshage wote
Leo naingia mtini. Usiku mwemaWakimbia lindo utawajua tu