Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,814
- 15,558
Lala kabla hajatokea basi mpendwaMmmmh tatizo langu mtu akiniuzi muda mfupi kabla ya kulala huwa nakosa usingizi kabisa,
Na almost kila siku muda mfupi kabla ya kulala anatokea mtu ananiudhi
Lala kabla hajatokea basi mpendwaMmmmh tatizo langu mtu akiniuzi muda mfupi kabla ya kulala huwa nakosa usingizi kabisa,
Na almost kila siku muda mfupi kabla ya kulala anatokea mtu ananiudhi
Nimefanyaje?Alikwambia nini manga nae jaman
Pande gani hizo mida hiiSiku moja moja kama hivi nikiwa sehemu kama sijalala
Piga keeeleeeleeeeeeeee
Ni poa tu kiwanja gani mida hii popo
Niambie Mrs lee empireBabe wa king mswati ivuga

KaribuuuuHodiiii
Asanteh sanaKaribuuuu