@zurriKwa wale wanaskola wa kitabu kinachoondoka kwa jina la Biblia, agano jipya kuna mwanafunzi wa Yesu alikua anaitwa Tomaso, huyu jamaa aliambiqa Yesu kafufuka amewatokea watu akabisha kwamba hadi amuone.
Iko siku akawatokea akasema hadi amguse aweke vidole kwenye makovu ya mwili wa Yesu mikononi ilipopita misumari, kisha ndio akakubali.
Sasa nafikiri wazee wa kupapasapapasa wote wameangukia kwenye kundi la Tomaso huenda ndio ilizaa neno kutomasa..hiyo ni according to The Monk lakini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sina hakika kama amenizidi, mahaba yangu juu ya hizi nguo uko mpaka kwenye bandama.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]mnama hapo ndio mwisho wangu[emoji23][emoji23][emoji23]
Mangi shimboni mbee
Nyie ni watanzania kweli? Leteni vyeti vya kuzaliwa vya babu na bibi zenu hapaTsicha tupu meku, kenjiwi tsapfo mnama.
[emoji23]Nyie ni watanzania kweli? Leteni vyeti vya kuzaliwa vya babu na bibi zenu hapa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Naona umeamua kubadilishia gia angani[emoji23][emoji23][emoji23]
Umeamka au umeamshwa?Kwa wale wanaskola wa kitabu kinachoondoka kwa jina la Biblia, agano jipya kuna mwanafunzi wa Yesu alikua anaitwa Tomaso, huyu jamaa aliambiqa Yesu kafufuka amewatokea watu akabisha kwamba hadi amuone.
Iko siku akawatokea akasema hadi amguse aweke vidole kwenye makovu ya mwili wa Yesu mikononi ilipopita misumari, kisha ndio akakubali.
Sasa nafikiri wazee wa kupapasapapasa wote wameangukia kwenye kundi la Tomaso huenda ndio ilizaa neno kutomasa..hiyo ni according to The Monk lakini
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sina hakika kama amenizidi, mahaba yangu juu ya hizi nguo uko mpaka kwenye bandama.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hata hivyo tulivunja sheria ya lindo kwa kutumia lugha isiyo rasmi.
Umeamka au umeamshwa?
Lala mshepu[emoji23][emoji23][emoji23]
Tena nahisi amekuzidi juu ya mahaba ya nguo za rangi ya kijibu
Usimhusishe katika tamaa zako[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Eee Mwenyezi Mungu niepushe na huyu mchochezi.
Unasubiri nini, ina maana hujui kama usiku umeshaingia?Niamke viipi wakati sijalala?
Likewise guy!Good night guys,
Thank You, Thad.Likewise guy!
[emoji23][emoji23]Lala mshepu[emoji23]
Thank You, Thad.
Mmmh! Huo utafiti anaufanyia wapi?