Tuanzie wapi maana story tumeikuta katikati tunaogopa kudandia treni kwa mbele na kuleta usumbufu kwa abiria.
Habari ya kazi wakuu
Ki ukweli bbade nimekufa kwako mrembo kama vipi naomba unifufueSio Mimi...
Embu anza
Habari ya kazi wakuu
Ki ukweli bbade nimekufa kwako mrembo kama vipi naomba unifufue
Maana kuna abiria wa vip,kati na mwisho hawa wa mwanzo hawataki vurugu ila Asante kwa kunikaribisha nitaanzia popote.Anza popote....
Usumbufu kawaida tu
Bro kaza uzi hivyo hivyo .....
Sijakuelewa hebu fafanua kidogoByeeee sio baiiii
Maana kuna abiria wa vip,kati na mwisho hawa wa mwanzo hawataki vurugu ila Asante kwa kunikaribisha nitaanzia popote.
Tukutane kanisa la ufufuo....
Jumapili asubuhi....usichelewe
Unamfahamu mpaka umwite Bro?Bro kaza uzi hivyo hivyo .....
Huko tena kufanya nn, wewe ushasema hautaki kanisani nikajua utasema tukutana kwa ofisi ya DC wa kinondoni
Asante kwa ufafanuzi nimekupataUsijali hakuna madaraja hapa...wote tunafanana....
Hapana,mazoea tu jirani !Unamfahamu mpaka umwite Bro?
Jirani tena?Hapana,mazoea tu jirani !
Kwa hiyo kazi wacha niamini moyo wako haujanidondokeaMlete DC nyumbani....
Kesho mchana...tuyamalize
Acha nitafute pa kuudondosheaKwa hiyo kazi wacha niamini moyo wako haujanidondokea
Nimeshiindwa kukujibuChat haina balance.. No ladies