Nitafanyaje sasa wakati ndio rafiki pekee ninayemuona mwaminifu anayejua kuniliwaza japo kwa muda katika hii dunia?
Ngoja ni mwite shemeji yetu mwayasiNajua u rafiki yangu unipendae 'unconditionally'. Nimekuelewa kuanzia mwakani nitapunguza huu unywaji.
Mambo ya weekend bwana, wacha leo tujiachie kidogoMbona usiku wa manane bado jamani? Haraka ya nini?
[emoji85][emoji85][emoji85]You drink??
[emoji126][emoji126][emoji126]Ngoja ni mwite shemeji yetu mwayasi
Akikubali unitagInna kambebe rafiki yako huko yupo tilalila
[emoji85][emoji85][emoji85]
Yeah!Jibu basi best usione aibu
Mambo vipi bado mida ya mitoko nikupitie wapi ndo najiandaa hapaNakagua lindo lindo Thad mambo baba swalehe kiboko yako mama swalehe huwa nacheka sana ukimuongelea humu, kakupatia umepatikana hasa.
Yeah!
Nakupa ofa ya ngumu ngumu maana mie siwezi mpa mtu ofa ya castle lite, sijui savanna, sijui red nn
We na Thad wako mmevunja sheriaInna kambebe rafiki yako huko yupo tilalila
Ngumu ipi hiyo, mimi mwenyewe sinywagi watoto wa pombe
Ntakuachaje sasa kipenzi wwAkikubali unitag
Nawe umo kwenye kuvunja sheria, tutaadhibiwa wote[emoji23][emoji23][emoji23]We na Thad wako mmevunja sheria
Mimi nimeona gari limewashwa nikadandiaWe na Thad wako mmevunja sheria
Asante dear!Ntakuachaje sasa kipenzi ww
Ila ntamwita sijui mgunga pori au mwanyasi tusaidizane
Wee nmekuja kujibu tu hb alivyoniulizaNawe umo kwenye kuvunja sheria, tutaadhibiwa wote[emoji23][emoji23][emoji23]