JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Eeh kumbe unataka mfaidi peke yenu tu?[emoji848]
Haya, goma liko uwanjani.
Tafuta mbeleko utambae nalo Thad
20181001_022851.jpg
 
Usifanye mzaha na miaka 7 bila ya demu, ni pirika tu huku mkuu, kila siku nasema nitafute mmoja na wananichekea ile mbaya, mademu wa huku rahisi sana mkuu ww tu mwenyewe, ila ndio ivyo tena
Mkuu
Ukipata zali oa huko. Huku sisi tunaitwa vibamia
 
Back
Top Bottom