Bonge la pini ndo nini?[emoji848]Nasikia wewe ni bonge la pini halafu ni shabiki wa yanga. Nimeona mahala fulani. Ni kweli hizi habari ?
nishakaribia ila nipo huku kwenye kiza maana nina alerge na mwangaKaribu mvinyo
Mbona sikaribishwi mvinyo!Karibu mvinyo
Nimetumia neno maarufu sana,yaani wewe ni mzuri hasa.Bonge la pini ndo nini?[emoji848]
Ushabika wa Yanga ni kweli kabisa, sasa hivi ndo naingia home kutoka taifa
Basi baki gizani mimi naendelea zangu na mvinyonishakaribia ila nipo huku kwenye kiza maana nina alerge na mwanga
Mbona unaguna?Mmmhh
Wewe karibu juiceMbona sikaribishwi mvinyo!
Asante kwakweli ni mtu mwemaKumbe Da'Vinci ni mtu mzuri. Pole kwa maswahibu mamie
we njoo tu nishakufungulia geti ila nimeona noma kukufuata hapo kwenye gariBasi baki gizani mimi naendelea zangu na mvinyo
Huo ni uzushi tu unaoenezwa na wabaya wangu, upuuze kabisaNimetumia neno maarufu sana,yaani wewe ni mzuri hasa.
Vizuri................
Jinsi ulivyo na roho ngumu kuniacha mpweke sins furahaMbona unaguna?
Hapana sitaki nataka kamvinyo kidogo bwana usiku huu nichangamke kidogoWewe karibu juice
Ok, najawe njoo tu nishakufungulia geti ila nimeona noma kukufuata hapo kwenye gari
Sisi waungwana huwa tunasema hivi "Lisemwalo lipo,kama halipo linajongea"Huo ni uzushi tu unaoenezwa na wabaya wangu, upuuze kabisa
Si unajua lakini athari za mvinyo? Haya njoo uchukue unataka mwekundu au mweupe?[emoji848]Hapana sitaki nataka kamvinyo kidogo bwana usiku huu nichangamke kidogo
Usisahau kuwa sio kila ling'aalo ni dhahabuSisi waungwana huwa tunasema hivi "Lisemwalo lipo,kama halipo linajongea"
Asante sana.............