JamiiForums Usiku wa manane

Ndio hivyo. ....nimejifunza kuongea lugha mama pia. ...nilikuwa najiendea nikawa natengwa. ..nikajua nakosea.
kumbe!
mimi nimejitahidi sana na-dilute sentensi/paragraph zangu kwa kuchomeka maneno kutoka kwenye hiyo lugha
Kukiongea full kabisa ni kazi. Tena kubwa.
Example. I had to think long and hard before typing this response. Ila nimekuelewa.
 
kumbe!
mimi nimejitahidi sana na-dilute sentensi/paragraph zangu kwa kuchomeka maneno kutoka kwenye hiyo lugha
Kukiongea full kabisa ni kazi. Tena kubwa.
Example. I had to think long and hard before typing this response. Ila nimekuelewa.
Najua. .inakuwa ngumu kufikiria neno kwenye lugha mama ikaleta maana.
Majukwaa mengine ruksa....
 
Huu sio ukweli kabisa...!

Nakukumbusha tu "Sio kilicho pinda kina dosari". Vingine kupinda kwao ndio ukamilifu wake.
Misemo ya kuthamini vilivyovibovu hiyo kila mtu anapenda asali lakini hakuna aliekumbatia nyuki kumpongeza kutengeza asali tamu
 
kwasababu hupigi story. ukiwa kimya lazima usingizi ukupitie tu.
Stori zenyewe hapa zina wenyewe. Siyo rahisi kupazoea hapa. Ukiwa mgeni hapa utapata tabu sana kwa sababu watu wanaongea wanafahamiana. Utaanzaje kuingilia mazungumzo? Hapa unaingia unapiga mbinja usingizi ukikujia unakwenda zako kulala unawaachia wenyewe [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Unajitosa tu
 
Huyu jamaa dunia anataka kuipeleka kwingine kabisa. Democracy as we know it might be diminished !!!
 
Game likiwa on...na bia za bariidiiiiii....Ukiongezea na chicken wings ...
 

Attachments

  • source_ig_share_sheet_igshid_sxvfa4fxbxlo___.jpeg
    97.1 KB · Views: 26
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…