lini sasa?Hatari aisee,sioendi kujulikana yaani sioendi hasa.
baki nchi ya ahadi ya asali na maziwaNitakutafuta,nikitaka nikwambie kitu,naona wengi wataona vurugu zangu humu.
[emoji23]mkuu
Nipo hapa kwa jiwe.vyuma ndio vinasababisha nakesha humu
Ila siku nikipata chance naamsha kabisa. Nchi ya viwonder siipendi
Nakuja Inbox kwako...!sasa hapa wanakujuaje?
lini sasa?
baki nchi ya ahadi ya asali na maziwa
AmeliwaHebu leteni update za miss tz bhasi
Hiyo asali na maziwa vinatumiwa na wachache mkuusasa hapa wanakujuaje?
lini sasa?
baki nchi ya ahadi ya asali na maziwa
Nasubiri ruhusa ya unipe nije inbox...!sasa hapa wanakujuaje?
lini sasa?
baki nchi ya ahadi ya asali na maziwa
Na kagari kale kachafu vile wakakipamba hivyo hivyo haha. Wangekipeleka hata car wash kwanza kabla hawajakipamba kwa matangazo ya Miss Tanzania 😀 😀Lindo la leo linaendeshwa na Miss Tanzania Live
Mkuu kila kitu ni mipango, ukijipanga mbona inawezekena.Mkuu hongera. Kuishi nje ni ndoto ya wengi especially mimi
Yaani Gt kama wewe unanisoma kilaza mie, nashukuru chief.Ila leo kama bahati hivi ninachat na wewe,huwa naona ona tu maoni yako,kwa ufupi nakufatilia sana.
Mimi sio Gt kabisa. Unajua hisia kitu cha ajabu sana.Yaani Gt kama wewe unanisoma kilaza mie, nashukuru chief.
Nasubiri ruhusa aisee,naona sipewi.Yaani Gt kama wewe unanisoma kilaza mie, nashukuru chief.
Hili tamko "chief" nalo miyeyusho,tumia maneno yenu yale ya kike kike sio haya.Yaani Gt kama wewe unanisoma kilaza mie, nashukuru chief.
wewe ni gt mkuu, jikubali banaHili tamko "chief" nalo miyeyusho,tumia maneno yenu yale ya kike kike sio haya.
unakamua hata maziwa ya mbuziMimi sio Gt kabisa. Unajua hisia kitu cha ajabu sana.
Hiyo asali na maziwa vinatumiwa na wachache mkuu
nimekumiss
Hili ni moja ya tatizo linalowasumbua vijana wengi sana huko home. Lakini unaweza tu kujua hali ya huku ilivyo. Wasomi na watu wenye elimu za juu za dini kama dr Slaa alikuwa hapa. Nadhani huo ni mfano mzuri wa nini kinachotokea huku. Hauwezi kula bila kufanya chochote na hakuna kuhurumiana huku. Mali yote ya huku inapatikana huko home. Hawa jamaa wanatoka kuja huko na wanapata hela. Ukija huku bila kuwa na shughuli halisi utafanya shughuli ngumu na unaweza kuishia kuwa mtumwa au ukahusika na biashara za ajabu ajabu. Huyo babu anayeitwa Le Mutuz anajua mambo mengi. Ni vyema kuwauliza watu wa aina hiyo kabla hujachukua uamuzi.Mmmh labda mkuu.ila mimi hua nadhani huko nje mnaishi life fulani ambalo huku wanaishi wachache.