Najua wanipenda lakini lazima uniweke mimi niwe kiburudisho chako namba moja as your woman .. Ina maana leo hii nikukute unaangalia movie nikusubiri mpaka movie iishe ndo unigeukie mimi kiburudisho namba tatu? Hapana hivyo vyote vya ziadaNo we no namba 1 kwangu Ila mwanamke pia ni kiburudisho cha mwanaume so katika listing ya viburudisho mwanamke kwangu ni namba 3. Ila ww ni namba moja kwangu coz I love you as my woman not my tool of leisure
Hii ni kama mko wote wawili a place mm km mm saa nne tu simu zinazimwa nadeal na kitu mungu ameumba banaNajua wanipenda lakini lazima uniweke mimi niwe kiburudisho chako namba moja as your woman .. Ina maana leo hii nikukute unaangalia movie nikusubiri mpaka movie iishe ndo unigeukie mimi kiburudisho namba tatu? Hapana hivyo vyote vya ziada
Kwann. mkuuHali inazidi kuwa tete [emoji342][emoji83][emoji84][emoji317]
Kweli kabisa yaniHii ni kama mko wote wawili a place mm km mm saa nne tu simu zinazimwa nadeal na kitu mungu ameumba bana
Ahsante mke kwa kunikosoa, naweza kujiona Niko sahihi kwa misimamo yangu kumbe sivyo. from now nabadilli we ndio unakua kiburudisho wangu namba moja. muda wowote, sehem yoyote ukihitaj au nikihitajNajua wanipenda lakini lazima uniweke mimi niwe kiburudisho chako namba moja as your woman .. Ina maana leo hii nikukute unaangalia movie nikusubiri mpaka movie iishe ndo unigeukie mimi kiburudisho namba tatu? Hapana hivyo vyote vya ziada
Muvi inazidi kunogaKwann. mkuu
I see uko pekeako mkuu..Kweli kabisa yani
nani kasema?I see uko pekeako mkuu..
Asante mume hayo ndo mapenzi kukosoana kuna jenga mahusiano hasa pale mtu anapokubali kukosolewaAhsante mke kwa kunikosoa, naweza kujiona Niko sahihi kwa misimamo yangu kumbe sivyo. from now nabadilli we ndio unakua kiburudisho wangu namba moja. muda wowote, sehem yoyote ukihitaj au nikihitaj
Nisiporuhusu kukosolewa nawe nimruhusu nani tena? nimesarenda kila kitu kwako mke wangu! Ndio maana najiona niko dunia ya pekee yangu nawe kupata make bora Na mwema kama weweAsante mume hayo ndo mapenzi kukosoana kuna jenga mahusiano hasa pale mtu anapokubali kukosolewa
Tuwe mfano bora na wakuigwa hasa kwa hii couple inayokuja hivi karibuni lucas mobutu na ThadNisiporuhusu kukosolewa nawe nimruhusu nani tena? nimesarenda kila kitu kwako mke wangu! Ndio maana najiona niko dunia ya pekee yangu nawe kupata make bora Na mwema kama wewe
Naam ndoto yangu siku moja nikupeleke ukaburudike kuogelea kwenye fukwe za Zanzibar huko ikiwezekanaTuwe mfano bora na wakuigwa hasa kwa hii couple inayokuja hivi karibuni lucas mobutu na Thad
Nitafurahi mnooNaam ndoto yangu siku moja nikupeleke ukaburudike kuogelea kwenye fukwe za Zanzibar huko ikiwezekana
Nami nitafurah sana, nadhani hats mass 8 au 6 yanatosha kufarhiaNitafurahi mnoo
Masaa nane yatakuwa kama dk 5 tu masaa huwa yanakimbia sana ninapokuwa na weweNami nitafurah sana, nadhani hats mass 8 au 6 yanatosha kufarhia
basis itabidi tulale huko huko ili kila mmoja amfaidi mwenzieMasaa nane yatakuwa kama dk 5 tu masaa huwa yanakimbia sana ninapokuwa na wewe
Hapo angalau kidogo kuliko yale masaa uliyoyataja mwanzobasis itabidi tulale huko huko ili kila mmoja amfaidi mwenzie