HB wa kigogo
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 2,489
- 6,251
Endelea kuwasubiri wanakuja muda si mrefu.Yaani niikiwa macho hadi mda huu ..lazima hii Thread iamke. ..Mnaongeaga nn huku ..wacha leo nifuatilie walau kwa Dakika 30
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku hizi nashindwa kulala mapema. Nikilala mapema napata usingizi wa mang'amung'amuHB wa kigogo usiku mrefu sana huu
Tufuatane basiNahisi nivae niende hata hapo masai nikapoteza mda, sidhani kama naweza kulala mazoea mabaya sana.
Safi tu za siku mbili tatu
Karibu tufupishe huu usikuHatimaye zamu imewadia tena la kukaa lindo hizi siku mbili hadi nilianza kunenepa.
masaai ipi nikupe tafuAstelia nakupitia best maana hapa nlikuwa nataka nimcheki mdananda mmoja ila nimeghairi
Mpaka kufungwa kwa geti
Salama sijui wewe uliko huko