Hah Sana yani,me hadi kulia.Hahaha, tulikuwa tunateseka kama vile ni kweli.
Mimi nilikuja kushangaa namwona yule mniga wa predator kwenye movie nyingine, napo akafa.
Nilivyorudi nyumbani namuuliza mdingi kwa nini jamaa afe mara 2? Mzee ananiambia hizo movie in uongo. Wanatengeneza, nikawa simwelewi.
Hah Sana yani,me hadi kulia.
Check mambo hayo,namwelewa sn huyu mtu hasa mateke
Sent using Jamii Forums mobile app
Yah ni kweli,ilibidi nimfuatilie sn Kwa namna nilivo kuwa namkubaliIn real life nasikia jamaa ana black belt.
Hahaha aisee,, ila zilizokuwa znatia huzuni sana za kihindi mzee,, dah zlkuwa znasikitsha kinomaHahaha, tulikuwa tunateseka kama vile ni kweli.
Mimi nilikuja kushangaa namwona yule mniga wa predator kwenye movie nyingine, napo akafa.
Nilivyorudi nyumbani namuuliza mdingi kwa nini jamaa afe mara 2? Mzee ananiambia hizo movie in uongo. Wanatengeneza, nikawa simwelewi.
Leo naona walinzi mmelala mapema !!!
[emoji119] [emoji119] ile ligi tuite EPL au Bundasliga ya Ujeruman [emoji23][emoji23]Leo naona walinzi mmelala mapema !!!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Utoto tu ule. Uzuri humu hatujuani na hakuna mwenye haki ya kumnyanyasa wala kumnyenyekea mwingine. Samahani bro najua pengine umeshtuka. Yameshapita hayo[emoji119] [emoji119] ile ligi tuite EPL au Bundasliga ya Ujeruman [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Usijari brother,, nakuelewa sana[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Utoto tu ule. Uzuri humu hatujuani na hakuna mwenye haki ya kumnyanyasa wala kumnyenyekea mwingine. Samahani bro najua pengine umeshtuka. Yameshapita hayo
Hahahahahah hakika...maana kamind kweli hapa ...eti unachat na nani wakt mwenye Mali npo halfu night kaliKatimize wajibu wako, kwa leo lindo halikufai
Pamoja mkuu,,,mm pia itakuwa hvo hvo,, huenda ikawa sio wiki,,, ikawa hata miezi kadhaa hv!!Nitawamiss sana na pia nashukur kwa ushirikiano mlionipa hatimae namaliza lindo langu la wiki nzima,hvy tukutane tena wiki zijazo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Tpo wengi tu.....unataka kutoa ofa ya morning glory??Kuna mtu yuko macho??