Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Sitaki nalala mie mangaAcha bhanaa awepo tu mii nasikia raha uwepo wake
Sitaki nalala mie mangaAcha bhanaa awepo tu mii nasikia raha uwepo wake
mie mwenyewe nakuelewa sana jiraniNa mie nawaelewa sana wahenga nyie
aaahAcha bhanaa awepo tu mii nasikia raha uwepo wake
mie mwenyewe nakuelewa sana jirani



basi sawa jirani yangu tunaelewana sana jamanWamaanisha nimepatia nini sasa?Hujakosea bana manga ujue
Kuwa we ni binadamu hukosei ukiulizwa woiii nalalaWamaanisha nimepatia nini sasa?
aaah
nlijua ndio ana toka nikataa nitupiemo ujumbe wa kuaga




tupia jirani hata kesho nitausoma ujue mchana au asbh usiku nakuja kujibuUsilale kwanza mii sijakuelewa apaKuwa we ni binadamu hukosei ukiulizwa woiii nalala
Asa Shunie ntakua sio bina adam basi kama sitojionea huruma nimeulizwa nikajibu ilivyoUsilale kwanza mii sijakuelewa apa
Umesema sijakosea ukimaanisha nimepatia.nimeuliza nimepatia kitu gani ili iwe sijakosea?
hahahatupia jirani hata kesho nitausoma ujue mchana au asbh usiku nakuja kujibu
Duuuuuh majibu hayooo haya bhanaa mimi nipo nyuma yako tu wala sichokiPolee manga ndio ukubwa huo pambana na hali yako jaman
Kuwa we ni binadamu hukosei ukiulizwa woiii nalala
Naam apo nimekuelewa yaliofata hapo yalikua mawazo tu yasio mashiko ila wewe ndo umeyashikaAsa Shunie ntakua sio bina adam basi kama sitojionea huruma nimeulizwa nikajibu ilivyo
Manga hilo ndio jibu lako umeelewa sasa ulivyojibu mwanzo
Pamoja kingozi tunatoka wote mbonaahahaha
sasa jirani unasomaje msg viporo
halaf nlitaka tu nimuage ndugu yangu ML hapo
braza pumzika sasaNaam apo nimekuelewa yaliofata hapo yalikua mawazo tu yasio mashiko ila wewe ndo umeyashika
Ila nimecheka sana leo ujuebraza pumzika sasa
Kama vipi kesho pamoja au siobraza pumzika sasa
hahahaIla nimecheka sana leo ujue
Hamna kilicho zidi vyote ulisha vijua hapa ni porojo tu si kwamba nlikua nategemea jipya natumai umenielewahahaha
mie pia nimecheka sanaaa
ila wanasema usipokubali kufa huta onja pepoio
so wewe usjali ndio maisha haya
sasa now kwa kuwa hatutegemei jipya bas tuendelee ku tafuta mapya.Hamna kilicho zidi vyote ulisha vijua hapa ni porojo tu si kwamba nlikua nategemea jipya natumai umenielewa