bachelor sugu
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 2,689
- 3,651
Ngoja bhana sie tupate ndo uanze na ww maana utaongeza competition bure.Wakuu salama? Kuna member (sitamtaja) alinipa shortcut ya kuopoa wadada hapa jf. Kuwa ukiwa unakesha kwenye huu uzi na wadada kwa week mbili tu utakua umeshapata hata mmoja. Naomba kuwasilisha nitaanza rasmi kukesha kesho
HahahahaSawa
Ni likes mkuu, kaangalie profile yakeHizo ni post sio likes
Ukiingia salamu ya kwanza ni kukagua lindoWazee wa hakuna kulala za asubuhi...
Sawaa kazi kwakoWahenga siwawezi mimi
Wajuaji mno
[emoji23]hapana, afu hatujamaliza deal letu ujueUchochez sasa
Hapo ulikuwa wapiHahahaha
Kwanini mkuu ?[emoji38]Avatar na wewe haviendani
Hawa nakusikiliza[emoji23]hapana, afu hatujamaliza deal letu ujue
Dah kumbe goli lilikuwa wazi mi nikajua limefungwa,sema mlango wenyewe ukisukuma vibaya hukawii kuingia nao.Sukuma tu uingie mkuu
UzunguniiiHapo ulikuwa wapi
Na wewe unatabia kama za mobutuKwanini mkuu ?[emoji38]
[emoji39]Sawaa kazi kwako
Ni likes mkuu, kaangalie profile yake
Huyo wa 20 yuko wapi ?Hawa nakusikiliza
Hahahaha mkuu mbona mi simmiliki huyo mi sina bifu kumbe ndo maana umechelewa kunifungulia eeeh.Mkuu wewe tuna bifu kisa thad
[emoji16]baadhiNa wewe unatabia kama za mobutu
Umebakiza za nini ?Usku mwemaa nimeishiwa nguvu za kuchat
Hali hairidhishi maana walinzi wamedorora lindoniDah kumbe goli lilikuwa wazi mi nikajua limefungwa,sema mlango wenyewe ukisukuma vibaya hukawii kuingia nao.
Anyway habari zenu wakuu.