sweet manka
Member
- Nov 8, 2016
- 97
- 182
Umeonaeeh?agh mapema sana wakuu
Umeonaeeh?agh mapema sana wakuu
WapoPopoz mpo
Dada habariiPopoz
Hujambo kipenzi?Popoz
Kesho hatutakuwepo chief, tuone weekend ijayo...samahani sana kwa usumbufu.







kaka we kauzu. Unaogopa asije akafanya coup de tat kaka kwa ice manNilikua naja kwako, nimekutana na mbwa mkali getini acha kabisaPopoz
Kinga ni bora kuliko tiba dadakaka we kauzu. Unaogopa asije akafanya coup de tat kaka kwa ice man



Ni kweli,hata mimi nakuunga mkono na kichwa piaKinga ni bora kuliko tiba dada![]()
Ghkeee. Huyo mbwa kawekwa na babe baba chanjaNilikua naja kwako, nimekutana na mbwa mkali getini acha kabisa
Nimekua mdogo, nimegeuka zangu taratiiibuGhkeee. Huyo mbwa kawekwa na babe baba chanja
PoleeeNimekua mdogo, nimegeuka zangu taratiiibu