Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,005
- 11,318
[emoji3] [emoji3]Mwanafunzi mvivu utamjua tuu, basi sawa wewe endelea kufurahia mvua
Ila braza pale ulitaka kuniuzia msalabetter braza [emoji4]
Oooh my God, uko my dear sisy???Wifiiii
HahahahaMlale saaa
Mmh hakuna uwifi tenaa[emoji24] [emoji24]Wifiiii
Mbona kawaida tuu, huyo ndio wangu wa ubavu Yaani ni full mahaba zindeki [emoji6][emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Ney umeamua eeee
Haina shida ntavumilia hadi uachike niingie[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mbona kawaida tuu, huyo ndio wangu wa ubavu Yaani ni full mahaba zindeki [emoji6]
Kwanini?????!!!!!!!!![emoji15]Mmh hakuna uwifi tenaa[emoji24] [emoji24]
Heri umekuja dada angu, habari yako kwanza! [emoji4]Kakaaaa
Mzima ndugu yangu mambo yako huwa yana hekima sana nakukubaki mzee.Hakika twapishana sana boss wangu.
Mzima?
Unaendeleaje?Hahahaha
Hebu tusalimie kwanza
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sikitiko la mahaba lashinda msiba[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
What! Why you doing this to me?
Nipo brother... Na nyapia nyapia naogopa kutua mafinga[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Oooh my God, uko my dear sisy???
tuganye ndio nn?Eeh "tuganye" kweli kakaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
Yaan baby wangu yaliyonikuta ntakuhadithia kesho wee kuwa mpole tuu, meskia uchungu kukuacha mwenyewe [emoji26]Am good mpenzi.
Nadhani Kesho wikiend ndio ntakiamsha zaidi humu
Weekdays nakuwa mpole.
Ila baby na barid hii nimekusibiri nimeona huji
HahahaHaina shida ntavumilia hadi uachike niingie[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Just here and there,mvua nyingi nakuta sms zimehama inbox zinaelea tu kwa water,sometimes missed call re swimming, jf is walking under the rain. Mitihani tupuWhere have you been jamaniii[emoji20] [emoji20]
natumai sio kitabu cha kuchapa viboko!! [emoji20][emoji20][emoji19][emoji19][emoji3] [emoji3]
Jirani ngoja nikutafutie kile kitabu cha kumfanya mwanafunzi mtoro ahudhurie darasa bila kukosa[emoji125]