sungura mweusi
Member
- Mar 6, 2018
- 57
- 65
Yani tunakuwa na maamuzi ya kipuuzi sana mda mwingine , yani nilikua na protector kabisi nilivyoona wajerumani wapo mbali nikavua gwanda sasa hivi najilaumu sana kwa mistake ile.Wee acha tu mungu atusaidie.
Hahahaaaaaaaaaa[emoji3] [emoji3] duuh ....majuto badaeKuna mdada alikuwa ananitega sana tangu nihamie mtaani kwao sasa leo tumekutana kwenye sherehe , sinika tupia ndoano akawa hana la kujibu katikati za nyimbo za mark anthony na west life tukawa tumehug tightly baadae tuka toka nje nikamsindikiza kujisaidia daaah si tuka sex without protector
Kosa lishafanyika sasa ata ukijilaumu ni bureKuna mdada alikuwa ananitega sana tangu nihamie mtaani kwao sasa leo tumekutana kwenye sherehe , sinika tupia ndoano akawa hana la kujibu katikati za nyimbo za mark anthony na west life tukawa tumehug tightly baadae tuka toka nje nikamsindikiza kujisaidia daaah si tuka sex without protector
Asante mkuu ,, daaah ila wadada wana mitego sana akikuamulia hutoki kwa kweli nimetumia mbinu zote ikashindikanaKosa lishafanyika sasa ata ukijilaumu ni bure
Just stay positively amini hakuna baya lolote wala ugonjwa utakao pata
Then sikunyingine usipelekeshwe na hisia
Braza hukutumia mbonu zote ungeweza kumuachia kabsaa unless ulishikiwa bundukiAsante mkuu ,, daaah ila wadada wana mitego sana akikuamulia hutoki kwa kweli nimetumia mbinu zote ikashindikana
Braza hii nayo ni kosa la u single!?Yani tunakuwa na maamuzi ya kipuuzi sana mda mwingine , yani nilikua na protector kabisi nilivyoona wajerumani wapo mbali nikavua gwanda sasa hivi najilaumu sana kwa mistake ile.
Gracias amigo mio[emoji125] [emoji125] [emoji85]Gracias jaman
HahahaaGracias amigo mio[emoji125] [emoji125] [emoji85]
Aaah wapiiii,kwani nimesemajee hapo?? Me nimejiandikia tuu huoni mbio hizo....isije kuwa nimetukana bureee[emoji28] [emoji28]Hahahaa
Huku ndio kwenye lugha yako eeh?
Dawa yako niku kurudisha kwetu Nigeria
Hauja kosea sasa sjajua kamaAaah wapiiii,kwani nimesemajee hapo?? Me nimejiandikia tuu huoni mbio hizo....isije kuwa nimetukana bureee[emoji28] [emoji28]
Wacha weee[emoji5] [emoji5] itabidi niende kwa rasi simba sasa sijui anafundisha na hii lugha?akanipige msasa vzr....hahhaaHauja kosea sasa sjajua kama
Ni nn kimekupata [emoji23] [emoji23]
Au umepandisha shetani wa kispain ia ukp mule mule
HahahaWacha weee[emoji5] [emoji5] itabidi niende kwa rasi simba sasa sijui anafundisha na hii lugha?akanipige msasa vzr....hahhaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] watu na mbwembwe zetuu[emoji85]Hahaha
Mi nlikuelewa sana gracias amigo
Sema hiyo mimo ndio imekuwa mbwembwe tu but mpaka nikajua uko fluent [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani nilichoka kukusubiri, ulipofika ukawa unalike bila kucomment, nikakusubiri hadi nikachoka nikaamua nikuachie ujumbe tuKila nikija na ww ndo unapotea