Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,682
- 45,597
Thank you dingiHappy blue Monday

Thank you dingiHappy blue Monday

Tumfundishe nnMfundishe basi na Inna jamani
Kabisa house boy...unaona tunavojuana sasa,hadi rahaaaaBila shaka we ni beki 3 wa kwanza kuamka na wa mwisho kulala
Your are most welcome mumuThank you dingi![]()
Aisee kama sio ile barua yenye hayo maneno "l" "love" "you" aliyonitumiga chaupele enzi izo kule Veyula makao makuu ya bongoland ningetoka kapa kabisaI was thinking how can I say three words to you. Then I found a way.
“I” feel very happy with you.
“Love” is so beautiful.
“You” are enough for me for this life.
Now join first words of the sentences.

Hayo maswagaTumfundishe nn
kwa sababu.......Kwa nini Ukhuty!?
Yamekuwa sasa hayawihayawiI was thinking how can I say three words to you. Then I found a way.
“I” feel very happy with you.
“Love” is so beautiful.
“You” are enough for me for this life.
Now join first words of the sentences.
Hua nikikumbuka mpambano wa Mtakatifu, Mj na Dingi kwa Inna, naishia kuikumbuka hii riwaya aliyonisimulia mjukuu wangu juzi "Three Suitors One Husband"Una maana gan embu dadaVua
Maana nishafura hapa
Veyula kuna Shamba langu LA mahindi na hivi mvua imepotea nahofia hasaraAisee kama sio ile barua yenye hayo maneno "l" "love" "you" aliyonitumiga chaupele enzi izo kule Veyula makao makuu ya bongoland ningetoka kapa kabisa![]()
Ya mahaba auHayo maswaga
Hahaha nishakujibu komrediMungu akipend jamani ila Nleterewa Nganengo naomba unijibu swali langu ili nilale vizur
Hahaha Makao makuu na mvua ni sawa na mafuta na Maji. Kipindi hicho nililima sana mtama na viazi vitamu kwa mafanikio tukuka. Hakika umenikumbusha mbali. Uishi maisha marefu Chaupele cheupe.Veyula kuna Shamba langu LA mahindi na hivi mvua imepotea nahofia hasara
Wivu sina ila roho inauma..........
Khaaaa naona umenibatiza jina mubashara chaupele cheupeHahaha Makao makuu na mvua ni sawa na mafuta na Maji. Kipindi hicho nililima sana mtama na viazi vitamu kwa mafanikio tukuka. Hakika umenikumbusha mbali. Uishi maisha marefu Chaupele cheupe.



