Nataka kukeshaKahawa usiku wote huu au una mpango wa kukesha?
Poa mkuuNiajeeeeeeeeee
Una viatu vizuri cha MdekoKhokho Khokho Khokho napita [emoji151][emoji151][emoji151][emoji151][emoji151][emoji151]
Baki hapa tukeshe pamojaNataka kukesha
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji120]Poa mkuu
Njoo tukeshe woteeNataka kukesha
Napigaa patrolUna viatu vizuri cha Mdeko
PoleeNalianzisha tu Leo. Komredi Mwifwa nisamehe bure. Nina furaha ( yanga) nina huzuni (Liverpool's)
Chief[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji120]
Sijuii huyu mzee kapoteleaa wapiitepetepe ndembendembe
mzee anasoma upepo kwanza ,akiamka anaamsha popo kwelikweliSijuii huyu mzee kapoteleaa wapii
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mzee anasoma upepo kwanza ,akiamka anaamsha popo kwelikweli
tukisema usiku wa manne maana yake popo linaanzia sa4Jaman huu n usiku wa manane hayo manane n nini na kwa nn yasiww manne au matano
Hahahaha umewaza nini mkuu?Jaman huu n usiku wa manane hayo manane n nini na kwa nn yasiww manne au matano
Hahaahaa ni kawaida mkuu s unajua mtu ukiishiwa usingiz alaf ukijiangalia huna stress so akili ipo free bas unajikuta unafikiria katika vile ambavyo hujawahi fikiriaHahahaha umewaza nini mkuu?