JamiiForums Usiku wa manane

Hahahaaa napata picha unavyokodolea kioo upate kuona ndani [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sasa mpambanaji yeye abakie kulea tu hamna namna
Story yenyewe sasa gari imepaki mafichoni benten vidole viwili juu kufungua milango yoteeee amekaa karibia lisaa lizima mara ghafla gari Kali ikafiika ina tinted balaa ikafunguliwa mlango mm nikichungulia ghafla benten akafunga mlango gari yake akaingia kwenye gari Matata Uwiii wakachelewa kufunga kamlango na mm nikapiga jichoo refu mara paaap busu na dendaa matata na mlango ukafungwa nikakumbuka siku tumekaa hotel fulan saa 5usku Ben ten wakaingia na small house wakakaa sehem ya gizaa ile j3 ambayo dada alibreak internet kumbe benten Nipo makao makuu napetiwa machunguu usikutee dada aliamua kubreak ili nirud kwa makonda
 
[emoji32][emoji32][emoji32]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…