JamiiForums special track

JamiiForums special track

yeah yeah
Press Like Niku Add tuwe mabest,
Junior Member mwenye swag zisizo na vest,
usijitenge kama mtengwa mwenye tumbo la Gesi,
habari unayo mi ndo boyfrend wa mtoto Gilesi
 
Last edited by a moderator:
matumbo ni nyo_ko aiseee, lol Nimecheka sana kwa kweli. Jf iendelee.
 
Last edited by a moderator:
Mbona simwoni mtu ameshika jirani na dushe ama papuchi huku anainua jeans,hahahaab.Oyoooo!
 
Embu kwanza ni-dm nikupe mchapo ulio kamili
Jf hawazingui kwani ndo habari ya mjini
Japo kuna masnitch daily kupiga tu kelele
Hawana kazi ya maana kutwa kupiga tu misele
 
One two one two
mtengwa

ongeza ufahamu, kama unataka knowledge/

peruzi kila forum, JF ni kama online college/

tema chema, kama kweli ni great thinker/

ukiwa vema, kokote ulipo utasikika/

kila jukwaa liko bize, am hadi pm/

ukimpenda mtu usiulize, muibukie pm/

warembo ndo kibao, jimwage mmu/

domo zege kalagabao, wanafaidi wajuzi tu/

jukwaa la siasa, ndo home of local politics/

karibu nakuhasa, utanielewa kwa hizi lyrics/
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: ram
hata TFF humu wapo, kama Jamal Malinzi /

watu hawalali kama popo, utasema walinzi/

pitia jukwaa la ajira, kama unasaka kazi/

love connect ndo taswira, kwa wanaosaka wapenzi/

mmu ndo home of malavidavi, kama tip top connection/

jukwaa la elimu kiroho safi, napaita online tuition/

habari za udaku yuko warumi mpe respect/

iwe mchana au usiku, pitia jukwaa la ma celebrity/

jukwaa la matangazo ndo biashara zinafanyika/

ukiingia jf photo utasema uko insta/
 
Oyoooo, everybade in ze mazafantaz houz put yo hands in the air!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom